Nenda kwa yaliyomo

Sidi Bel Abbès

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Sidi Bel Abbes
Sehemu ya Mji wa Sidi Bel Abbes

Sidi Bel Abbès ni mji muhimu wa Algeria. Ndio wa nane nchini kwa wingi wa wakazi.

Hao walihesabiwa kuwa 212,935 mwaka 2008[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "The provinces of Algeria and all cities of over 25,000 inhabitants". Citypopulation.de. Iliwekwa mnamo 2008-04-14.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sidi Bel Abbès kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.