Shule ya Irente kwa Wasichana Wasioona
Mandhari
Shule ya Irente kwa Wasichana Wasioona ilianzishwa na Dayosisi ya Kaskazini-Mashariki ya KKKT mnamo mwaka 1963[1] katika Milima ya Usambara huko Lushoto, Tanzania. Ni shule ya msingi iliyokuwa na wanafunzi 78 na walimu 15 mnamo mwaka 2021[2]. Masomo ni pamoja na mafunzo ya ufundi na kilimo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Ojile - Echoing the Voices of the Marginalised/or Excluded in Developing African Countries - ISEC 2000". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-17. Iliwekwa mnamo 2007-12-25.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ https://elctned.org/index.php/fee-structure/irente-school-for-the-blind/17-school-background School Background
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Irente kwa Wasichana Wasioona kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |