Shule Direct
Mandhari
Shule Direct ni jukwaa la mtandaoni ambalo linatoa mafunzo kwa wanafunzi na walimu katika shule za sekondari kwa ajili ya Tanzania pekee.
Malengo hasa ni kufanya elimu inafikika popote na muda wote. Wazo la wavuti hii ni la mlimbwende wa zamani Faraja Nyalandu (zamani Kotta).
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Wavut Rasmi Archived 9 Januari 2017 at the Wayback Machine.