Nenda kwa yaliyomo

Shirika la umma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shirika la umma (kwa Kiingereza: public corporation) ni shirika au taasisi ambayo inamilikiwa na kusimamiwa na serikali au mamlaka ya umma na ina jukumu la kutoa huduma au kutekeleza majukumu kwa faida ya umma au jamii kwa ujumla.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shirika la umma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.