Shijiazhuang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shijiazhuang
Bendera ya Shijiazhuang
Bendera
Nchi China
Jimbo Hebei
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,313,000
Tovuti:  www.sjz.gov.cn/
ShijiazhuangNight.jpg

Shijiazhuang (kwa Kichina: 石家庄) ni mji wa China. Ndio mji mkuu wa jimbo la Hebei.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, kuna wakazi wapatao milioni 9.4 wanaoishi katika mji huu.

Mji uko mita 83 juu ya usawa wa bahari.

Flag-map of the People's Republic of China.svg Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shijiazhuang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.