Shadia Nankya
Mandhari
| Shadia Nankya | |
| Amezaliwa | 25 Uganda |
|---|---|
| Nchi | Uganda |
| Kazi yake | Mwanasoka |
Shadia Nankya (alizaliwa 25 Novemba 2001) ni mwanasoka wa soka la wanawake kutoka nchini Uganda ambaye anacheza kama beki katika Ligi Kuu ya shirikisho la mpira wa miguu nchini Uganda (FUFA) katika klabu ya mpira ya UCU Lady Cardinals FC na timu ya taifa ya wanawake ya Uganda.
Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Nankya amewahi kuchezea UCU Lady Cardinals nchini Uganda. [1]
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Nankya aliichezea Uganda katika kiwango cha juu wakati wa mashindano ya Wanawake ya COSAFA 2021 na kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake mwaka 2022 .[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Coach Lutalo Names Crested Cranes Provisional Squad Ahead Of AWCON Qualifiers Against Kenya". Federation of Uganda Football Associations. 25 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 19 Februari 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Nanzigu, Sarah; Xavier Kasujja, Francis; Nankya, Immaculate, whr. (2015-12-03), "Introduction", Frontiers in HIV Research, BENTHAM SCIENCE PUBLISHERS, ku. 3–22, iliwekwa mnamo 2022-03-05