Nenda kwa yaliyomo

Senny Mayulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Senny Mayulu (alizaliwa 17 Mei 2006) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Paris Saint-Germain F.C. inayoshiriki Ligue 1 ya Ufaransa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Two new youth contracts for the young Parisians". EN.PSG.FR (kwa Kiingereza). 2021-06-25. Iliwekwa mnamo 2024-06-19.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Senny Mayulu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.