Sendeyo
Mandhari
Sendeyo (pia: Sendeo) ni kilele cha mlima Kenya unaopatikana nchini Kenya katika kaunti ya Meru.
Kina urefu wa mita 4,704 juu ya usawa wa bahari[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sendeyo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |