Seiya Fujita
Mandhari
Seiya Fujita (alizaliwa 2 Juni 1987) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Japani ambae mara ya mwisho alichezea timu ya Tokushima Vortis hadi 2022. Mwaka wa 2007, alichaguliwa kujiunga na kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20) ili kushindana katika Kombe la Dunia la FIFA U-20 mwaka 2007 huko Canada.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tokyo Verdy win Prince Takamado Cup". J's Goal.
- ↑ "Consadole sign Seiya Fujita". J's Goal.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seiya Fujita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |