Seiwa wa Japani
Mandhari
Seiwa (850 – 31 Desemba, 878) alikuwa mfalme mkuu wa 56 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Korehito, na alikuwa mwana wa nne wa Tenno Montoku. Mwaka wa 858 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 876. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Yozei.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Seiwa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |