Sedment

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sedment ni jina la kijiji kinacho patikana huko Misri. Katika lugha ya kale ya Misri hujulikana kama maeneo ambapo makuburi ya kale yanafukuliwa. Kazi hii pia huandikwa pia katika majarida mbalimbali kwaajili ya elimu kwa watu tofauti tofauti. Walipata makaburi ya kale sana yaliyowahi kuzikwa watu kutokea miaka ya 3000 Kabla ya Kristo hadi uingereza hii ya sasa.

Katika kipindi hicho cha mwanzo makaburi mengi yalikuwa na majeneza ya mbao. Kaburi kubwa kabisa lilikuwa ni la vizier Prehotep ambae alikuwa akifanya shughuli zake za kiofisi chini ya mfalme Ramses wa pili.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]