Nenda kwa yaliyomo

Seanice Kacungira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Seanice Kacungira
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
Kazi yake Mwandishi wa habari

Seanice Kacungira ni mtangazaji wa redio wa Uganda.

Uzoefu wa kazi

[hariri | hariri chanzo]

Alifanya kazi nchini Kenya kwenye shirika la habari la Capital FM na vyombo vya habari vya Uganda vikiwemo Sanyu FM, WBS na NTV.

Seanice na mdogo wake Nancy Kacungira kwa pamoja ni waanzilishi wa Blu Flamingo; kampuni ya usimamizi wa media ya dijitali.[1][2]

Alitambuliwa kama mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa zaidi katika Biashara na Serikali barani Afrika.[3]

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Ameolewa na Fabian Adeoye Lojede na ni mama wa watoto wawili.[4] Baadaye alibadilisha jina lake kuwa Seanice Lojede baada ya ndoa yake.[5]

  1. "CEO Seanice Kacungira: How to improve your networking game". SautiTech (kwa American English). 1 Oktoba 2018. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Seanice Kacungira on launching a Ugandan digital agency & the tipping point for online advertising". Youtube. 10 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  3. Kyomugisha, Mercy. "Seanice Kacungira wins Africa's Most Influential Women in Business Award – Sqoop – Get Uganda entertainment news, celebrity gossip, videos and photos" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Seanice Kacungira welcomes bouncing baby girl. [Photo]". BigEye.UG (kwa American English). 2 Mei 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-25. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Seanice Kacungira Is Now Married. [Photos]". BigEye.UG (kwa American English). 1 Desemba 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-25. Iliwekwa mnamo 15 Aprili 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Seanice Kacungira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.