Sawatch Range

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Sawatch Range

Sawatch Range ni safu ya milima ya Colorado (Marekani).

Urefu wake katika mlima Elbert unafikia hadi mita 4,401 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sawatch Range kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.