Sauti ya Umma (SAU)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sauti ya Umma (SAU) ni Chama cha Siasa nchini Tanzania. Kilipata usajili tarehe 17 Februari 2005.

Katika Uchaguzi mkuu wa Urais pamoja na Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar tarehe 30 Oktoba 2005, mgombea wa Chama hiki Mariam Omar alipata asilimia 0.07 ya kura zote. Chama hiki hakikupata nafasi katika Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]