Saskia Feige
Mandhari
Saskia Feige (amezaliwa 13 Agosti 1997) ni mzaliwa wa Ujerumani[1]. Mwaka 2019 alishiriki katika mashindano ya mbio za kilomita 20 za wanawake katika mashindano ya riadha ya dunia ya mwaka 2019 yaliyofanyika Doha, Qatar.[2] Alimaliza katika nafasi ya 11.Pia alishiriki katika matembezi ya wanawake ya kilomita 20 katika Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto ya 2020 iliyofanyika Tokyo, Japan.
Mwaka 2017, alishiriki katika matembezi ya wanawake ya kilomita 20 katika mashindano ya riadha ya Ulaya ya 2017 yaliyofanyika Bydgoszcz, Poland.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saskia FEIGE | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
- ↑ https://media.aws.iaaf.org/competitiondocuments/pdf/6033/AT-20KR-W-f----.RS6.pdf