Nenda kwa yaliyomo

Saratu Gidado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saratu Gidado

Saratu Gidado (anajulikana zaidi kwa jina la Daso; alizaliwa 17 Januari 1968) ni mcheza filamu wa Nigeria anayejulikana zaidi katika aina yake ya uchezaji akivaa uhusika wa mtu mwenye hasira tena mkali[1][2]

Gidado alitengeneza filamu yake ya kwanza mwaka 2000 iliyokuwa na jina la Linzami Da Wuta, filamu ilotayarishwa na Sarauniya Movies, na baadae kufuatiwa na tamthilia nyingine kama Nagari, Gidauniya, Mashi, Sansani na nyingine nyingi .[3]

Saratu Gidado alijiunga na Kannywood mwaka 2000,na kutokea katika zaidi ya filamu 100 .[4]

Jina Mwaka
Yar Mai Ganye
Cudanya
Nagari
Sansani
Mashi
Fil'azal
Gidauniya
Gidan Iko
Jakar Magori
Mazan Baci
Mazan Fama
Rintsin Kauna
Shelah
Uwar Kudi
Yammaci
Daham 2005
Sammeha 2012
Gani Gaka 2013
Ibro Ba Sulhu 2014
There's a Way 2016
Ba Tabbas 2017
  1. Matazu, Hafsah Abubakar (23 Machi 2019). "5 Kannywood veterans still on screen". Daily Trust. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-09. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "I'm the only married woman that is still into acting – Daso". Blueprint. Blueprint. 7 Agosti 2017. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "TOP 10 NORTHERN ACTRESSES". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Modern Ghana. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Saratu Gidado [HausaFilms.TV - Kannywood, Fina-finai, Hausa Movies, TV and Celebrities]". hausafilms.tv. Hausa Tv. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saratu Gidado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.