Sarah Hegazi
Sarah Hegazi | |
---|---|
| |
Alizaliwa | 1989 |
Alikufa | 14 June 2020 |
Nchi | Misri |
Kazi yake | Mwandishi |
Sarah Hegazi (pia inaadikwa Higazy au Hegazy; kwa Kiarabu: سارة حجازي; k 1989 – 14 June 2020) alikuwa msoshalisti, mwandishi na mwanaharakati wa ushoga wa Misri.[1][2]
Alikamatwa na kufungwa pamoja na kupata mateso ndani ya miezi mitatu[3] akiwa Misri baada ya kupeperusha bendera inayosapoti mapenzi ya jinsia moja katika tamasha lililofanyika mwaka 2017 chini ya bendi ya Mashrou' Leila mjini Kairo [4]
Hegazi alizaliwa kwenye familia ya kihafidhina ya Misri ya tabaka la kati; alikuwa mkubwa wa ndugu wanne. Alimsaidia mama yake kuwatunza ndugu zake baada ya baba yake, mwalimu wa sayansi wa shule ya upili, kufariki. Picha za kijana Hegazi aliyevalia mavazi ya Kiislamu ya kihafidhina, ikiwa ni pamoja na hijabu, zilijitokeza baada ya kifo chake[5].
Hegazi alivaa hijabu hadi alipojitangaza msagaji mwaka 2016.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "After Crackdown, Egypt's LGBT Community Contemplates 'Dark Future'", NPR.org (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-03-05
- ↑ Riccardo Noury (2020-06-15). "In memoria di Sara Higazy - Focus On Africa -". Focus On Africa (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "القضاء المصري يفرج بكفالة عن شاب وشابة لوحا بعلم يرمز الى المثليين". SWI swissinfo.ch (kwa Kiarabu). Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ "'Egypt failed her': LGBT activist kills herself in Canada after suffering post-prison trauma". Middle East Eye (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
- ↑ Mashael ALMUTAIRI, Nouf AL KOUS, Mimouna ZITOUNI (2020-06-18). "Investigating Category Translation Shifts of a BBC News Article from English into Arabic". dx.doi.org. Iliwekwa mnamo 2022-03-10.
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sarah Hegazi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |