Nenda kwa yaliyomo

Sarah Allen (muundaji wa programu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sarah Allen (jina la kuzaliwa Sarah Lindsley) ni muundaji wa programu za kompyuta wa nchini Marekani na mjasiriamali.[1] Allen alihitimu katika Chuo Kikuu cha Brown huko Rhode Island, ambapo alihitimu katika sayansi ya kompyuta na sanaa.

Mapema katika taaluma yake, aliongoza utengenezaji wa "Adobe Shockwave", "Flash Media Server" na "Flash video", na alianzisha kampuni iliyounda programu ya "Adobe After Effects".

  1. Eisenberg, Bart. "Software Designers~The People Behind the Code", Software Design Magazine, January 2011 print issue (Japanese).(English web article date: 2010年12月18日発売
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Allen (muundaji wa programu) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.