Sara Cognuck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sara Cognuck ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Kosta Rika.

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Katika maisha yake ya awali, Cognuck aliishi Peñas Blancas. Kwa sasa anaishi Esparza. [1] Ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Costa Rica . [2]

Harakati[hariri | hariri chanzo]

Alianza harakati zake alipokuwa na umri wa miaka 15. [3] Moja ya harakati zake zilianza mnamo mwaka 2015's alipojiunga na Baraza la Kitaifa la Vijana la Costa Rica ambalo lilikuwa sehemu ya harakati za kujumuisha hatua za hali ya hewa katika Sera ya Umma ya Vijana mwaka 2020 hadi sasa. [4] Cognuck pia alikuwa mratibu wa Kongamano la Vijana la Mitaa (LCOY), ambalo ni tukio lililotangulia kabla ya COP 25, na sehemu ya Chama cha Vijana cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa ambayo iliundwa na vijana 70. [5] Yeye pia ni mmoja wa wawakilishi wa vijana wa Azimio la Watoto na Vijana katika Hatua za Hali ya Hewa. [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kutz, Cat (1 August 2021). "Nature & Nurture: How Costa Rica's Environmentalism Shaped Sara Cognuck Into a Climate Leader". www.smithsonianmag.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-22.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Sara Cognuck González – Consejo Nacional de la Persona Joven". Cuarto Foro Mundial de Ciudades Bajas en Carbono (kwa es-CO). Iliwekwa mnamo 2022-04-22. 
  3. Chandramouli, Kartik (2019-12-19). "Youth rising at COP25: They came, they protested, they negotiated". Mongabay-India (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-04-22. 
  4. Kutz, Cat (1 August 2021). "Nature & Nurture: How Costa Rica's Environmentalism Shaped Sara Cognuck Into a Climate Leader". www.smithsonianmag.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-22.  Check date values in: |date= (help)
  5. Martinez, Adrián (2019-10-08). "Conferencia de la Juventud Costa Rica LCOY – 2019". La Ruta del Clima (kwa es-CR). Iliwekwa mnamo 2022-04-22. 
  6. "COP 25: Young climate activists call for urgent action on the climate crisis at UNICEF-OHCHR event". www.unicef.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-22. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Cognuck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.