Saori Arimachi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saori Arimachi (alizaliwa 12 Julai 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani. Saori alicheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani pamoja na klabu ya wanawake ya Mynavi Vegalta Sendai.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saori Arimachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.