Nenda kwa yaliyomo

Sandister Tei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sandister Tei

Sandister Tei ni mtaalamu wa vyombo vya habari wa nchini Ghana ambaye alitunukiwa taji la mwanawikimedia wa mwaka mnamo Oktoba 2020 na Jimmy Wales, mwanzilishi wa Wikipedia

Pia yeye ndiye mwanzilishi na mfanyakazi wa kujitolea wa Kikundi cha Watumiaji cha Wikimedia Ghana.[1]

  1. "Planning Wikimedia Ghana". GhanaWeb (kwa Kiingereza). 2013-08-23. Iliwekwa mnamo 2022-10-02.