Nenda kwa yaliyomo

San Nicolás de los Garza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Jiji la San Nicolás de los Garza
Nchi Mexiko
Jimbo Nuevo León
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 476,761
Tovuti:  www.sanicolas.gob.mx

San Nicolás de los Garza (pia: San Nicolás) ndiyo mji mkubwa wa tatu jimboni la Nuevo León. Kuna wakazi 476,761 (2005), na pamoja na rundika la mji ni 3,664,331.

Eneo lake ni 33.5 km². Mji upo m 500 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Kuna pia Chuo Kikuu Huru cha Nuevo León (Kihispania: Universidad Autónoma de Nuevo León)

Mji ulianzishwa mwaka 1597.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Nicolás de los Garza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.