Nenda kwa yaliyomo

San Jose (Kosta Rika)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Juan Mora Fernandez


Jiji la San Jose
Nchi Kosta Rika

San José ni mji mkuu wa Kosta Rika. Iko katikati ya nchi kwenye kimo cha 1,170 meters juu ya UB.

Mji ulikuwa na wakazi 309,672 mwaka 2000.

San José ilikuwa kijiji kidogo hadi mwaka 1824. Wakati ule rais wa kwanza wa Kosta Rika huru aliamua kuhamisha mji mkuu kutoka mji wa kikoloni wa Cartago na kuanzisha makao mapya.

1884 San Jose ilikuwa mji wa kwanza wa Amerika ya Kati na Amerika ya Kusini ya kupata taa za umeme.

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Jose (Kosta Rika) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons