Nenda kwa yaliyomo

Samuel Poghisio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samuel Losuron Poghisio

Samuel Losuron Poghisio ni mwanasiasa anayehudumu kama kiongozi wa walio wengi katika seneti ya Kenya.Samuel ni mwanachama wa Kenya African National Union - KANU na hapo awali alikuwa mwanachama wa United Republican Party - URP na Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo la Kacheliba katika bunge la kitaifa la Kenya tangu uchaguzi wa wabunge wa 2007. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Members Of The 10th Parliament Archived 2008-06-16 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.
  2. "Sen. Poghisio Samuel Losuron | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2020-05-12.