Nenda kwa yaliyomo

Samuel Kofi Woods

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Samuel Kofi Woods (alizaliwa 1 Mei 1964) ni mwanaharakati wa haki za binadamu, mwanahabari, mwanasiasa na msomi kutoka Liberia.

Mnamo 1994, alianzisha shirika ambalo liliandika ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa vita vya pili vya wenyewe kwa wenyewe vya Liberia.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Samuel Kofi Woods Bio". Online Bio. RFK center. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo Aprili 3, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Samuel Kofi Woods Bio". Speaker Bio. oslo freedom forum. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-26. Iliwekwa mnamo Aprili 3, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Kofi Woods kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.