Samuel Eliot Morison
Mandhari
Samuel Eliot Morison | |
Amezaliwa | 9 Julai 1887 Boston, Marekani |
---|---|
Amekufa | 15 Mei 1976 |
Nchi | Marekani |
Samuel Eliot Morison (9 Julai 1887 – 15 Mei 1976) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mara mbili, kwanza mwaka wa 1943 kwa wasifu yake ya Kristoforo Kolumbus, na tena 1960 kwa wasifu yake ya John Paul Jones.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samuel Eliot Morison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |