Samsung Galaxy S22

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Samsung Galaxy S22

Samsung Galaxy S22 ni mfululizo wa simu janja kutoka Samsung zinazotumia mfumo wa Android zilizobuniwa, zilizoendelezwa, kutengenezwa, na kutangazwa na Samsung Electronics kama sehemu ya mfululizo wake wa Mfululizo wa Galaxy S. Zilitangazwa katika tukio la Galaxy Unpacked la Samsung mnamo Februari 9 mwaka 2022.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.