Samira bint Abdullah Al Saud
Mandhari
Samira bint Abdullah Al Faisal Al Farhan Al Saud (kwa Kiarabu: سميرة بنت عبدالله آل سعود) ni mtetezi wa haki za walemavu, mchangiaji wa kifedha, na mjumbe wa familia ya kifalme ya Saudi Arabia. Anajitolea kukuza uelewa kuhusu ulemavu nchini Saudi Arabia, hasa usonji na skizofrenia. Yeye ni Mwenyekiti wa "Saudi Schizophrenia Charity Association" na "Charitable Society of Autism Families"
Bintimfalme Samira ni mwanzilishi wa "Charitable Society of Autism Families" na alianzisha kituo cha usonji mjini Riyadh. Alipewa heshima na serikali ya umoja wa falme za kiarabu kwa huduma yake kwa watu wenye ulemavu. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saudi Arabia — A Princess Seeks A World of Change". ABILITY Magazine (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-12-06.
- ↑ "Saudi Schizophrenia Charity Association Event at Alfaisal University". Alfaisal News (kwa American English). 2018-11-06. Iliwekwa mnamo 2023-12-06.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Samira bint Abdullah Al Saud kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |