Samira Ibrahim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya mchoro wenye sura ya Samira Ibrahim.
Picha ya mchoro wenye sura ya Samira Ibrahim.

Samira Ibrahim (kiarabu: سميرة إبراهيم, IPA: [sæˈmiːɾæ (ʔe)bɾɑˈhiːm]) (kuzaliwa 1987) ni mwanaharakati wa Misri aliyepata umaarufu wakati wa mapinduzi ya Misri.

Kabla na baada ya maandamano ya Tahrir[hariri | hariri chanzo]

Mwezi Machi 9 ,2011 alishiriki katika maandamano yaliyofanyika Tahrir Square huko mjini Kairo. Wanajeshi waliwatawanya washiriki wa maandamano hayo kwa nguvu, na Samira na wanawake wengine walipigwa, waliadhibiwa na shoti za umeme, walipekuliwa wakiwa uchi na kurekodiwa video na askari. Pia walifanyiwa vipimo vya ubikira.[1]vipimo hivyo vilifanyika ili kuwalinda wanajeshi dhidi ya madai ya ubakaji.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samira Ibrahim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.