Saluti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jenerali wa Marekani (kushoto) na jenerali wa Ufaransa (kulia) wakipiga saluti.
Saluti

Saluti (kutoka neno la Kilatini kupitia Kiingereza "salute") ni heshima au salamu anayopewa kiongozi wa kitu fulani kama vile jeshi, skauti, mgambo na hata makundi mbalimbali ya ukakamavu.

Saluti hutumika endapo wanajeshi au wengine kati ya watu hao wamekutana basi hupeana salamu kwa njia ya saluti.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saluti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.