Saleh Husin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saleh Husin

Saleh Husin (alizaliwa Rote, Indonesia, 16 Septemba 1963) ni mwanasiasa wa Indonesia. Alihudumu kama Waziri wa Viwanda chini ya Baraza la Mawaziri la Kazi kutoka mwaka wa 2014 hadi 2016. Tarehe 27 Julai 2016, nafasi yake ilichukuliwa na Airlangga Hartanto . [1] [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nedabang, mhariri (December 23, 2018). "Saleh Husin dan Jurnalis Bersepeda Jajal Lintasan Sekitar Pabrik IKPP Sinar Mas". Pos Kupang (kwa id-ID). Iliwekwa mnamo 26 December 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Agustina, mhariri (August 12, 2018). "Mantan Menperin Saleh Husin Kumpul Bersama Alumni Lemhannas Angkatan 39". Tribunnews.com (kwa id-ID). Iliwekwa mnamo 26 December 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Nobar Ala Mantan Menteri Saleh Husin Wajib Pakai Jersey Brasil". SINDOnews (kwa id-ID). Iliwekwa mnamo 26 December 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saleh Husin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.