Nenda kwa yaliyomo

Sal Mosca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sal Mosca (kushoto) mnamo 1983

Salvatore Joseph Mosca (27 Aprili 192728 Julai 2007) alikuwa mpigaji piano wa jazzi kutoka Marekani na mwanafunzi wa Lennie Tristano.[1]

  1. Colin Larkin, mhr. (1992). The Guinness Who's Who of Jazz (tol. la First). Guinness Publishing. uk. 295. ISBN 0-85112-580-8.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sal Mosca kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.