Sakhnin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sakhnin ni mji wa Israeli.

Idadi ya wakazi ilikadiriwa kuwa 31,702 (2019)[1], wengi wakiwa Waarabu, hasa Waislamu lakini pia Wakristo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Population in the Localities 2019" (XLS). Israel Central Bureau of Statistics. Retrieved 16 August 2020.