Nenda kwa yaliyomo

Sakhile Nyoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sakhile Nyoni-Reiling ni mwanamke rubani amezaliwa Zimbabwe na anaishi Botswana. Alikuwa rubani wa kwanza wa kike nchini Botswana na mwanamke wa kwanza kuhudumu kama meneja mkuu wa Air Botswana.

Mnamo mwaka wa 1988, Nyoni alikuwa rubani wa kwanza wa kike nchinai Botswana, akifanya kazi kwa Air Botswana.[1][2] Mwaka wa 2011, alikuwa mwanamke wa kwanza kuhudumu kama meneja mkuu wa Air Botswana.[3]

  1. Peggy Saari; Timothy L. Gall; Susan B. Gall (1997). Women's Chronology: A History of Women's Achievements. UXL. ISBN 978-0-7876-0662-6.
  2. Ford, Tamasin; Shah, Dhruti. "The female pilot teaching African women to fly". BBC News.
  3. "Zimbabwean woman, Sakhile Nyoni, appointed Air Botswana head". Bulawayo24 News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-07-01. Iliwekwa mnamo 2024-04-25. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sakhile Nyoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.