Saint John, New Brunswick

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Saint John
Nchi Kanada
Mkoa New Brunswick
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 68,043
Tovuti:  / www.saintjohn.ca

Saint John ni mji mkuu na mji mkubwa wa kwanza wa mkoa wa New Brunswick katika Kanada. Iko kwenye pwani la Ghuba ya Fundy. Uko kwenye mdomo mpana wa mto Saint John. Kuna wakazi 68,043 (2006). Eneo lake ni 316.31 km². Ni mji kongwe visiwani katika Kanada.


Mji ulianzishwa 1604


Maporomoko ya Reversing
Saint John
Saint John katika New Brunswick


Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint John, New Brunswick kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.