Nenda kwa yaliyomo

Sabini na tatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sabini na tatu ni namba inayoandikwa 73 kwa tarakimu za kawaida na LXXIII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 72 na kutangulia 74.

73 ni namba tasa.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabini na tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.