Sétif

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sétif ni mji muhimu wa Algeria. Ndio wa sita nchini kwa wingi wa wakazi.

Hao walihesabiwa kuwa 288,461 mwaka 2008[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Flag and map of Algeria.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sétif kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.