Ryoji Noyori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ryoji Noyori

Ryoji Noyori (amezaliwa 3 Septemba 1938) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza hali maalum za usanisi. Mwaka wa 2001, pamoja na William Knowles na Barry Sharpless alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ryoji Noyori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.