Nenda kwa yaliyomo

Ryan White

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ryan Witherly

Ryan White at a fundraiser in 1989
Amezaliwa Ryan Wayne White
(1971-12-06)Desemba 6, 1971
Kokomo, Indiana,
United States
Amekufa Aprili 8, 1990 (umri 18)
Indianapolis, Indiana
United States
Tovuti Official website

Ryan Wayne White (6 Desemba 1971 – 8 Aprili 1990)[1] alikuwa kijana wa Kiamerika kutoka mjini Kokomo, Indiana ambaye amekuwa maarufu baada ya kuwekwa picha yake kwenye kijarida cha kuombea misaada ya wagonjwa watoto wenye HIV/UKIMWI huko nchini Marekani, baada ya kufukuzwa shule ya msingi kwa sababu ya kuathirika kwake. Baada ya kuumwa hemofilia, amekuwa na mwathirika wa HIV kutoka kwa damu iliyoathirika na, na alipofanyiwa uchunguzi na kuhudumiwa mnamo mwezi wa Desemba 1984, alikadiriwa ataishi miezi sita tu.

Madaktari hana athari kwa wanafunzi wengine, lakini UKIMWI ulikuwa hatumbuliki sana kwa kipindi hicho, na pindi White anajaribu kurudi shule, wazazi na walimu waliungana huko mjini Kokomo kupinga uzuru wake. Vita aliyokuwa akipigana nayo na mifumo ya shule ilishtakiwa, na taarifa za matukio ya vyombo vya habari vimefanya suala la White kuwa mtu mashuhuri kitaifa na kuwa mwongeaji wa tafiti za UKIMWI na elimu kwa umma.

Ameonekana zaidi kwenye vyombo vya habari akiwa na watu maarufu kama vile Elton John, Michael Jackson na Phil Donahue. Kilicho-washangaza madaktari, White ameishi miaka mitano zaidi kuliko vile walivyomtabiria na alikufa mnamo mwezi wa Aprili 1990, mwaka mmoja kabla ya kumaliza sekondari.

  1. "A Timeline of Key Events in Ryan's Life". Ryanwhite.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-12. Iliwekwa mnamo 2009-12-02.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ryan White kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.