Ruzena Bajcsy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Ruzena Bajcsy
Ruzena Bajcsy

Ruzena Bajcsy (Amezaliwa 1933 huko Bratislava, Czechoslovakia [1]) ni mhandisi na mtaalamu wa kompyuta alibobea kwenye robotiki.Ni profesa wa uhandisi wa umeme na sayansi ya tarakilishi katika chuo cha California, Berkeley[2], ambapo ni mkurungenzi wa Emerita ya CITRIS( Kituo cha Taarifa Habari na utafiti wa maslahi kwa jamii)

Hapo kabla alikuwa profesa na mwenyekiti wa uhandisi na sayansi ya tarakilishi katika chuo kikuu cha Pennsylvania, ambapo alikuwa mkurungenzi mwanzilishi wa maabara ya GRASP (General Robotics and Active Sensory Perception) na ni mjumbe wa taasisi ya sayansi ya neva kwenye shule ya tiba.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Oral-History:Ruzena Bajcsy (2002) (sw). ETHW (2022-02-07). Iliwekwa mnamo 2022-09-09.
  2. Ruzena Bajcsy | EECS at UC Berkeley (en). www.eecs.berkeley.edu. Iliwekwa mnamo 2022-09-09.