Rutongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jiji la Rutongo
Jiji la Rutongo is located in Rwanda
Jiji la Rutongo
Jiji la Rutongo
Mahali pa mji wa Rutongo katika Rwanda
Majiranukta: 1°49′03″S 30°03′33″E / 1.8175°S 30.05917°E / -1.8175; 30.05917
Nchi Rwanda
Idadi ya wakazi
 - 50.000[1]

Rutongo ni mji ulioko katikati ya Rwanda kwenye umbali wa karibu km 10 (maili 8) tu kutoka mji mkuu wa Rwanda, Kigali.

Iko karibu sana na mstari wa ikweta kwenye kimo cha m 1579 juu ya UB. Hali ya hewa ni ya wastani: hakuna baridi kali wala joto kali.[2][3]

Kuna seminari ya awali ya Kanisa Katoliki.[4]; [5]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Centro nutrizionale in Rwanda
  2. Rwanda, le mythe des mots
  3. Rutongo Mines: History. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-06-07. Iliwekwa mnamo 2019-06-02.
  4. eglisecatholiquerwanda.org
  5. Rwanda, le mythe des mots - Conférence épiscopale du Rwanda

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rutongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.