Rutilio Grande
Mandhari
Rutilio Grande García, S.J. (El Paisnal, 5 Julai 1928 – Aguilares, 12 Machi 1977) alikuwa kasisi wa Shirika la Yesu kutoka El Salvador.
Alitekelezwa kifo mnamo 1977, pamoja na Wanasalvadori wawili wengine.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pope OKs beatification for Rutilio Grande, Salvadoran martyr". Associated Press. 2 Mei 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Rhina Guidos (27 Agosti 2021). "El Salvador sets date for four beatifications in January". Crux Now. Iliwekwa mnamo 28 Agosti 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |