Russell Hulse
Mandhari
(Elekezwa kutoka Russell Alan Hulse)
Russell Alan Hulse (amezaliwa 28 Novemba 1950) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua aina fulani ya nyota iitwayo "binary pulsar" kwa Kiingereza. Mwaka wa 1993, pamoja na Joseph Taylor alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Russell Hulse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |