Joseph Taylor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joseph Taylor mwaka 2008

Joseph Hooton Taylor, Jr. (amezaliwa 29 Machi 1941) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza aina fulani ya nyota zinazosaidia kueleza nguvu za mvutano. Mwaka wa 1993, pamoja na Russell Alan Hulse alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Taylor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.