Rusazus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rusazus ulikuwa mji wa kale, mashariki mwa Bahari ya Mediteranea na pia sehemu ya Dola la Roma. Mji huu ulipatikana karibu na mji wa Cape Corbelin huko Algeria. Magofu yake hupatikana karibu na mji wa Azeffoun.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rusazus kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.