Azeffoun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azeffoun, Rusazus ya zamani na bandari ya kikoloni ya Gueydon ni mji na wilaya inayopatikana huko Algeria katika jimbo la Tizi, kaskazini mwa Algeria inayopatikana katika guba ya Corbelin umbali wa kilomita sitini na nne(64) kaskazini Mashariki mwa Tizi Ouzou.[1] Uchumi wa mji wa Azeffoun hutegemea utalii, uvuvi na kilimo.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Eneo la mji wa Azeffoun ni kilomita za mraba 126.66. Mwamba wa mlima Tamgout una urefu wa mita 500. Mwaka 1998, ulikuwa na idadi ya watu 16,096 na mwaka 2008 ulikuwa na idadi ya watu 17,435.

Azeffoun umezungukwa na bahari ya Mediterenian upande wa kaskazini, mji wa Aït Chafâa upande wa mashariki, Akerrou upande wa kusini na Iflissen upande wa magharibi. Mji huu unapatikana kilomita 64 kaskazini mashariki mwa Tizi Ouzo na kilomita 83 magharibi mwa Bejaia.

Vijiji vya Azeffoun[hariri | hariri chanzo]

  • Iagachene
  • Tiouidiouine
  • At Rhuna (Ait Rhouna)
  • Cheurfa
  • At Lḥusin (Ait Lhocine)
  • Iḥanucen (Ihanouchene)
  • Tazaɣart (Tazaghart)
  • Amriɣ (Amrigh)
  • At Sidi Yeḥya (Ait Sidi Yahia)
  • Nath Ouaissa (Ait Ouaissa)
  • Mlaṭa Iɛeggacen (M'latta Iagachene)
  • Mlaṭa (Mlatta cité)
  • Isumaten (Issoumatene)
  • Zituna (Zitouna)
  • Tiza
  • Lxibya (El Khibia)
  • At Yillul (Ait Illoul)
  • Kanis
  • Tala Ḥadid
  • Iɛbac (Iabache)
  • Tagemunt n Yeɛbac (Taguemount Iâvache)
  • Ɛcuba (Achouba)
  • At Warẓiq (Ait Ouarzik)
  • At Wandlus (Ait Ouandelous)
  • Tifrest
  • At Naɛim (Ait Naiem)
  • Ijanaten (Idjanaten)
  • Qirya (Kiria)
  • Azeffun
  • Bezerqa (Bezerka)
  • Iḥemziwen (Ihamziouene)
  • Iberhuten (Iberhoutene)
  • Imuluden (Imouloudene)
  • Tagemunt n Wedrar (Taguemount Boudrar)
  • Lqelɛa (El Kelâa)
  • Tidmimin
  • Ɣerru (Gherrou)
  • Iɣil Leɣzel (Ighil Leghzel)
  • Taẓebbujt n Tiza (Tazebojt n Tiza)
  • Imidiqsen (Imidiksen)
  • Laɛzib Saḥel (Lazib Sahel)
  • Agni n Riḥan (Agouni n Rihane)
  • Taɛinṣert (Taincert)
  • Tifezwin (Tifezouine)
  • Timluka (Timlouka)
  • Aɣulid (Aghoulid)
  • Sidi Qurci (Sidi Korchi)
  • Cote Bitar
  • Ait chaffa
  • Tafraout
  • Ighil Mehni
  • Jemha
  • Tagarcifth

Historia[hariri | hariri chanzo]

Wafoenike na wenyeji wa Carthage walioanzisha ngome ya kusini mwa guba ya Corbelin kama sehemu ya koloni ya Wafoenike iliyopatikana katikati ya Gibraltar na kwao. Waliita guba hiyo na makazi yake, guba ya Headland ya ngome. Mji huo ulianguka katika ujio wa Roma katika vita vya uhaini. Chini ya utawala wa Augustus, mji huo ukawa katika koloni ya Waroma ikipewa jina Rusazus.[2]

Haiba iliyounganishwa na Wilaya[hariri | hariri chanzo]

  • Taleb Abderahmane
  • Tahar Djaout
  • Fellag
  • Ali Haddad
  • Hadj M'hamed El-Anka
  • Hadj M'Rizek
  • Boudjemaâ El Ankis
  • Mohamed Iguerbouchène
  • M'hamed Issiakhem
  • Mohamed Ifticene
  • Abderrahmane Aziz
  • Bachir Hadj Ali
  • Ahcéne Lalmas
  • Younes Ifticene
  • Mohamed Hilmi
  • Said Hilmi
  • Hnifa Boualem Chaker
  • Abdelkader Chercham
  • Abderrahmane Lounés
  • Rouiched
  • El Hadj-Said Oulmaghechthoum
  • Hamid Tagziria
  • Rouiched

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Communes of Algeria. Statoids.
  2. Annuario Pontificio 2013 (Libreria Editrice Vaticana, 2013, ISBN 978-88-209-9070-1), p. 960
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Azeffoun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.