Nenda kwa yaliyomo

Rudi kwenye asili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rudi kwenye asili au rejea kwenye asili ni falsafa ama mtindo wa maisha ambao unahamasisha ukaribu wa uasilia kuliko utamaduni wa kigeni.

Katika hili desturi ya kutengeneza vitu kwa mikono pamoja na ufungaji hupendeza sana katika maisha ya kawaida ya mwanadamu. Mfano hai ni Henry David Thoreau ambaye alitumia muda wa miaka miwili kuishi katika maisha ya asili na ya kawaida sana kwenye bwawa la walden.