Rosenborg Ballklub
Jump to navigation
Jump to search
|
Rosenborg Ballklub (kifupisho: RBK) ni klabu ya kandanda kutoka mji wa Trondheim, Norwei. Inacheza katika Ligi Kuu ya Norwei. Klabu iliundwa mwaka 1917.
Lerkendal Stadion[hariri | hariri chanzo]
Lerkendal ni Uwanja wa mpira wa miguu huko Trondheim, Norwei. Ni uwanja wa nyumbani kwa Rosenborg BK. Unapokea watazamaji 21,116, na hivi ni wa pili kwa ukubwa nchini humo.
Wachezaji wa klabu kwa msimu wa mwaka wa 2017[hariri | hariri chanzo]
13 Oktoba 2017 Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.
|
|
Tuzo[hariri | hariri chanzo]
- Ligi Kuu ya Norwei:
- Washindi (26): 1967, 1969, 1971, 1985, 1988, 1990, 1992, 1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 1998, 1999, 2000, 2001, 2002, 2003, 2004, 2006, 2009, 2010, 2015, 2016, 2017, 2018
- Wa pili (5): 1968, 1970, 1973, 1989, 1991
- Kombe la soka la Norwei:
- Washindi (12): 1960, 1964, 1971, 1988, 1990, 1992, 1995, 1999, 2003, 2015, 2016, 2018
- wa pili (5): 1967, 1972, 1973, 1991, 1998
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rosenborg Ballklub kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |