Ronke Odusanya
Mandhari
| Ronke odusanya | |
| Amezaliwa | 3 mei1973 Ogun |
|---|---|
| Nchi | Nigeria |
| Kazi yake | muigizajk |
Ronke Odusanya (alizaliwa katika Jimbo la Ogun, 3 Mei 1973) ni mwigizaji wa filamu wa lugha ya Kiyoruba na mtayarishaji wa filamu kutoka Nigeria. [1]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Ronke alianza elimu yake katika Shule ya St. Benedict Nursery & Primary School na kuendelea na Chuo cha Wasichana cha Serikali cha Shirikisho, Akure . [2] Alihudhuria Chuo Kikuu cha Olabisi Onabanjo, na kupata digrii ya mawasiliano. [3]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "9 Years After First Production, Ronke Odusanya Releases New Flick 'Gangan'". Tribuneonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 20 Aprili 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ronke Odusanya". Ibaka TV. 20 Novemba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-20. Iliwekwa mnamo 2022-02-21.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Popular Nollywood actress Ronke Odusanya celebrates birthday with lovely photo". Information Nigeria. 3 Mei 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ronke Odusanya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |