Romang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Romang ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Wetar. Eneo la kisiwa ni 168 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Hila. Mwaka wa 1991, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 1700. Watu wakaao kisiwani kwa Romang huongea Kiroma.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Romang kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.